iqna

IQNA

fatima zahra as
Ahul Bayt wa Mtume Muhammad (SAW)
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa kimataifa wenye jina la "Kawthar ya Ismat" umeandaliwa katika haram tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Fatima Zahra (SA), Bintiye Mtume Muhammad (SAW) na Mume wa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3476424    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18

Uislamu Tanzania
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania kimeandaa maonyesho ya Kiislamu ya Hijabu na Ifaf (staha).
Habari ID: 3476412    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/16

Ahul Bayt wa Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)-Siku kama ya leo miaka 1452 iliyopita kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Qamaria, alizaliwa Bibi Fatima Zahra (SA), binti mtukufu wa Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3476395    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/13

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mpango jumla wa adui umegonga mwamba kwa sababu mahesabu yao yalikuwa ghalati na irada ya Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa na nguvu zaidi.
Habari ID: 3476390    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12

Ahul Bayt wa Mtume Muhammad SAW
TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 1433 iliyopita, yaani tarehe 3 Jumada Thani mwaka wa 11 hijria, Bibi Fatima Zahra Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu Yake- Salamullah Alayha- (SA), binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Talib AS alikufa shahidi baada ya kuishi umri mfupi tu lakini uliojaa baraka.
Habari ID: 3476313    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wasomaji wa tungo za mashairi ya kuwasifu Ahlul-Bayt (AS) kutumia nafasi waliyonayo kwa ajili ya kukabiliana na propaganda za vyombo vya habari dhidi ya taifa la Iran.
Habari ID: 3474843    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

IQNA (QUM)- Katika Haram Takatifu ya Bibi Maasouma SA katika mji wa Qum nchini Iran, kuna kazi kadhaa za mikono zenye majina ya Bibi Fatima Zahra SA, Bintiye Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474839    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/23

TEHRAN (IQNA) - Bibi Fatima Zahra SA binti mtukufu wa Bwana Mtume SAW na mwanamke bora duniani na akhera ni mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema na katika kipindi hiki Waislamu kote duniani wanakumbuka kufa shahidi mtukufu huyo.
Habari ID: 3474767    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Hafla za kuomboleza kufa shahidi Bintiye Mtume Muhammad SAW, Bibi Fatima Zahra SAW, zinafanyika katika Msikiti wa Jamia wa mji mtakatifu wa Qum nchini Iran.
Habari ID: 3474691    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/18

Kiongozi Muadhamu wa mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria tofauti za kimsingi za mtazamo wa Uislamu na ulimwengu wa Magharibi mwa mwanamke na kusema kuwa,Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu vinamtazama mwanamke kwa jicho la heshima ilihali mtazamo ulionea Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kumtazama kiumbe huyu kama bidhaa na wenzo.
Habari ID: 3473616    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/03

TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya wapenzi wa Ahul Bayt wa Mtume SAW wamefika katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq katika maombolezo yaliyofanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kufa shahidi Bibi Fatima Zahra SA.
Habari ID: 3473566    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/17

TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 1431 iliyopita, yaani tarehe 3 Jumada Thani mwaka wa 11 hijria, Bibi Fatima Zahra Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu Yake- Salamullah Alayha- (SA), binti kipenzi cha Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Imam Ali bin Abi Talib SA alikufa shahidi baada ya kuishi umri mfupi tu lakini uliojaa baraka.
Habari ID: 3473564    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/17

Msikiti wa Ar-Rahma, ambao pia unajulikana kama Msikiti wa Fatima Zahra (SA) ulijengwa mwaka 1985 katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia.
Habari ID: 3473209    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/28

TEHRAN (IQNA) - Umati mkubwa wa wananchi Waislamu wa Iran leo umeshiriki nchini kote kwenye maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra SA binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib AS, Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3472416    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: wakati Marekani inajiingiza kila mahali kwa kuzusha fitna na kuleta ufisadi, kila mara inatilia shaka kuwepo na kujishughulisha Iran na masuala ya eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471422    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Bibi Fatima SA alikuwa dhihirisho la ukamilifu wa mwanamke wa Uislamu na alifikia daraja la juu la 'mwanamke wa Kiislamu' yaani kiasi cha kuitwa 'kiongozi'.
Habari ID: 3470901    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/19

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, mfumo wa kibeberu uliosimama juu ya msingi wa kutumia mabavu ya kisiasa, kiuchumi, kiutamaduni na kijeshi.
Habari ID: 3470221    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/31